Nyumbani |
Mahali Maalum
|
Historia |
Schule |
Afya | Yatima | Out Stations |
Musik CD |
Mgusano &
Msaada 
Lengo letu:
Kumtangaza Kristu kati ya watu wasiomjua, au kutambulikana vya kutosha,
kuamsha hali ya ufahamu wa Mungu katika jamii za wakati wetu ambao
tunalegea ili tuweze kukumbushana tena.
Unsere Regel beginnt mit den Worten: Höre, mein Sohn, auf die Lehren des Meisters, neige das Ohr deines Herzens und nimm die Mahnung des gütigen Vaters willig auf.
Dhamira: SALA NA KAZI
Awali katika shughuli za misioni, masista waliwafundisha watu waliotengwa kwa sababu za kimila zilizopinga kumuelimisha mwanamke kusudi aolewe na kuzaa watoto tu. Mikakati na utekelezaji wa shughuli za kimisionari vya masista miaka zaidi ya 100 iliyopita vinaendelezwa bado lakini kwa mbinu tofauti na zile za awali ambazo hutokana na mahitaji na mazingira ya Kanisa la mahali.
Shirika letu lina Nyumba
| Africa | Europe | Americas | Asia | Australia |
| Tanzania | Germany | Brazil | Philippines | |
| Namibia | Switzerland | United States | Korea | |
| Angola | Portugal | Argentina | China | |
| Kenya | Bulgaria | India | ||
| Uganda | Spain |
