Mwanangu, ... maagizo ya
Baba Mwema.”

(Dibaji ya Kanini ya Mt. Benedikto)


 

Je, upo tayari?
Kuacha familia yako na kujiunga na Jumuiya hii ya Wamisionari Wabenediktini wa Tutzing?
Kuacha nchi yako na kutumwa popote kueneza na kushuhudia Injili – kwani hili ni Shirika la Kimataifa. Lipo duniani pote – na mataifa mbalimbali.
Kujifunza lugha nyingine? Kujifunza kazi itakayokusaidia kutumikia katika utamaduni



First state of Formation: Aspirants with Sr. Gloria


Second state of Formation: Postulants


Third state of formation: Novitiate with Sr. Raphaela


Fourth state of formation: Juniorate with Sr. Pia

 

Tunaitikia mwito wa Mungu kadiri ya mahitaji ya wakati. Katika kazi zetu: kama Hospitali, Shule, Ustawi wa Jamii, Yatima, Vilema, Watoto wa Kipapa, Legio Mariae, Vijana.


 

LENGO LETU:
Kumtangaza Kristu kati ya watu wasiomjua, au kutambulikana vya kutosha, kuamsha hali ya ufahamu wa Mungu katika jamii za wakati wetu ambao tunalegea ili tuweze kukumbushana tena.

DHAMIRA:
SALA NA KAZI

Tunafanya huduma zote kadiri ya hitaji la kanisa la mahali.

Masharti ya mwombaji:

  • Awe na nia thabiti ya maisha ya kitawa
  • Roho ya kimisionari.
  • Afya njema
  • Anatoka katika familia ya Kikristu.
Awe amemaliza kidato cha nne na kufaulu walau daraja la tatu na kupanda juu, na aongeze kozi yoyote baada ya kidato cha nne, au amalize elimu ya kidato cha sita, chuo kikuu, au chuo chochote baada ya kidato cha nne.

 

 

 

Kama upo tayari, ongea na Yesu.

Na umwandikie:
Mkurugenzi wa Miito
Masista Wamisionari Wabenediktini
S.L.P. 18 P e r a m i h o
Tanzania

Tel.: 25 260 2594
Mobile: 0748539678

Mkurugenzi wa Miito: gloria@peramiho.org
Prioress: portmann@peramiho.org