Watawa wajitahidi kufanya kazi kwa ajili ya maendeleo ya watu. Hapa tunawaona mafundi seremala wa nyumba yetu ya Uwemba wakifanya kazi chini ya uongozi wa Bruda Kizito Nsafiri wakijenga paa la nyumba mpya ya chekechea huko Uwemba. Soma zaidi...
Kuendelea