Padre Franziskus Leuthner O.S.B. kutoka Abasia kuu ya Beuron, baada ya kuteuliwa kwa Padre Cassian kuwa Vicar Apostolic, basi alifika kuwa mkubwa wa Peramiho. Aliamuru kubomoa kibanda cha mahoka mnamo mwaka 1903. Hata hivyo alivunja uhusiano mzuri na wakubwa wa Wangoni uliojengwa na Padre Cassian.
Soma zaidi...