Wamisionari wa zamani walisafiri kwa muda mrefu kwa miguu kwa ajili ya uchungaji. Kwa siku hizi jumuiya iishiyo sehemu moja ni muhimu sana. Hata hivyo, hata kwa siku hizi wamisionari wanasafiri sana. Picha hii inamwonesha Abate Anastasius Reiser akiendesha gari akitokea Peramiho hadi huko parokia ya Mlangali. Bahati mbaya nilisahau kufunga mlango kabla ya kupiga picha, anasema Br.Robert. Soma zaidi...