Historia ya Abasia ya Peramiho

(Pia unaweza kuclick kwenye kila picha)

Mnamo mwaka 1898 P. Cassian Spiß O.S.B. alianzisha Peramiho kama misioni ya Wabenediktini wa St.Ottilien. Soma zaidi...

Mnamo mwaka 1905 Peramiho iliangamizwa wakati wa Vita ya Maji-Maji, Wabenediktini saba waliuawa, P.Cassian mmoja mwao. Soma zaidi...

Baada ya Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia Wabenediktini chini ya uongozi wa P. Gallus Steiger O.S.B. waliweza kuanzisha shule na misioni nyingi sana. Peramiho ilipata kuwa abasia na uaskofu, kanisa kuu likajengwa. Soma zaidi...

Wakati wa Abate-Askofu Eberhard Spieß O.S.B. (kuanzia 1953) uongozi wa kanisa jipya ulikabidhiwa viongozi wazalendo.
Soma zaidi...

Chini ya uongozi wa Abate Lambert Dörr O.S.B. (1976-2006) Peramiho iliacha kuwa kitovu cha misioni na kubadilika kuwa abasia ya kawaida. Jumuiya inazidi kuwa jumuiya ya Kiafrika. Soma zaidi...

Mwanzo


Mkutano wa tamaduni

Picha