Anayeonekana katika picha upande wa kushoto ni Bruda Albert Haas. Alizaliwa mwaka 1924, alifika Peramiho mwaka 1954, akakaa Peramiho hadi kifo chake mwaka 2008. Picha inamwonyesha Br.Albert akimpongeza mtawa mpya kwa kufunga nadhiri zake za daima mwaka 2006, naye ni Bruda Mauro Ngwema, aliyezaliwa mwaka 1974.   Soma zaidi...

Kuendelea