Tangu zamani wamisionari walitumia picha za watoto kwa kutangazia kazi yao kwa wafadhili. Hata sisi tunayafuata mapokeo haya kwa sababu tunafanya kazi kwa ajili ya maendeleo ya nchi na kwa ajili ya kuboresha maisha ya hao watoto. You can help...
Kuendelea