21/03/2009 Bro. Mukasa Mgimba ameteuliwa subpriori

20/02/2009 Pd. Benno amefariki

17/01/2009 Tovuti yetu imepata uso mpya

Sehemu ya Kiswahili ya tovuti imepata uso mpya.

01/01/2009 P. Fidelis Mligo ameteuliwa priori

Priori P.Lucius Marquardt alistaafu tarehe 31/12/2008 akiwa na umri wa miaka 78. Abate Anastasius amemteua P. Fidelis Mligo kuwa priori tarehe 01/01/2009. P.Fidelis amezaliwa kwenye Jimbo la Njombe, lililokuwa sehemu ya kaskazini ya eneo letu la umisionari la zamani. Ana umri wa miaka 38, alifunga nadhiri zake za kwanza mnamo mwaka 1996. Kazi ya priori ni kuwa makamu wa abate. P.Fidelis ni mzalendo wa kwanza kuteuliwa priori wa Abasia ya Peramiho.

 


Mkutano wa Wabenediktini wa Barani Afrika