Mchango wako

Msaada wako kwa ajili ya kazi zetu za hospitali, elimu, kutunza mazingira na uchungaji, unatusaidia sana.

Sala yako

Sisi wakristu tunaamini kwamba pia sala yako ni njia ya kutusaidia. Sisi Wabenediktini tunasali hasa zaburi. Karibu kujiunga na sala zetu.

Kujiunga nasi

Vijana wa kiume wanaosikia wito huo, pia wanaalikwa kujiunga na utawa.


Br.Albert akimpongeza mtawa mpya Br.Mauro kwa kufunga nadhiri