Kwa siku hizi matibabu bila teknolojia hayawezekani. Darubini, x-ray, na ultrasound tunazo hapa Peramiho. Lakini teknolojia za kisasa kabisa zinakosekana. Kwa mfano computer tomography inapatikana huko Dar es-Salaam tu, na baadhi ya matibabu huwa hayatolewi nchini kote hapa Tanzania.
Soma zaidi...